Matthew 27:55-56

55 aWalikuwako wanawake huko wakiangalia kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Isa tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake. 56 bMiongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.

Maziko Ya Isa

(Marko 15:42-47; Luka 23:50-56; Yohana 19:38-42)

Copyright information for SwhKC